MKE WA RAIS WA ZANZIBAR AMEFUNGUA SKULI YA TURKISH MAARIF

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewataka wananchi wa Zanzibar   kutumia vyema fursa ya kuwepo Skuli ya ‘Turkish Maarif Zanzibar’ kwa kuwapeleka watoto wao ili kupata elimu. Dk. Mwinyi ametoa wito huo leo katika Ufunguzi na Mahafali ya Kwanza ya Kidato cha Sita ya Skuli ya ‘Turkish Maarif